YANGA SC YATOA WARAKA KUMTETEA MSEMAJI WAO HAJI SUNDAY MANARA
Uongozi wa klabu ya Yanga SC umetoa waraka wa kumtetea Msemaji wake, Haji Sunday Manara ya kwamba msemaji huyo hajatendewa haki na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa kitendo cha kumfungia msemaji huyo kujihusisha na masuala yanayohusu mpira kwa takribani miaka miwili sambamba na kutozwa faini ya Shillingi za Kitanzania Milioni 20.
Hakuna maoni